Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

[email protected]

Latest Posts

Ujane

Categories: ,

Description

Wasifu wa Mwandishi:

 Maisha ya Fran Geiger Joslin yalisambaratika wakati mumewe alipofariki kutokana na  maradhi ya saratani ya ubongo. Leo, anatoa tumaini kwa wanaoomboleza, hasa wajane. Fran anapenda kazi ya umisheni na pia kufundisha wanawake vijana. Kwa sasa, anatumika kama Rais wa Auntheticity Book House, shirika lisilo la kibiashara la huduma ya uchapishaji linalotoa mafundisho yaliyorahisishwa ya kichungaji katika vijitabu vidogo.

Muhtasari wa Kitabu: 

 SIO KWA AJILI TU YA WAJANE NA WAGANE…

Kitabu hiki cha Ujane kinadhihirisha na kuhalalisha uzito wa hisia za ndani wanazopitia wale wote wanaoomboleza kuondokewa na wenzi wao. Kama Ra­ki wa kuaminika, kitabu hiki kitatembea nawe na kukuletea tumaini. Fran pia anatoa ujuzi kwa wachungaji, washauri, na mara­ki wa karibu wanaoleta faraja kwa waombolezaji wanapopitia mchakato huu wa kujaribu kuyaishi maisha katikati ya huzuni na furaha. 

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ujane”

Your email address will not be published. Required fields are marked *